There are songs that God gives us to comfort, revive, or strengthen our faith in Him. But this one is different—this is a song God desires for us to sing back to Him. In 2023, Yahweh placed this song in my heart, repeating it to me for an entire year. We were finally able to record it during WARFEST, and I can testify with my spirit that this song comes directly from the throne room of God.
Lyrics
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Twakuinua
Tunakuita mungu
Twakuinua
Tunakuita mungu
Video
Mwana Kondoo – JAQUE GACHIRI ft. Anthony Juma / Official Video