Na Uzima Wa milele ndiyo huu, wakujue wewe, MUNGU wa pekee wa kweli na YESU Kristo Uliyemtuma Yohana 17;3.Je! unamjua Yesu Kristo ni nani kwako binafsi? Katika Mathayo 16:13 Yesu aliwauliza wanafunzi wake watu wanamjuaje, na mwishoni aliwageukia haohao wanafunzi wanamjuaje.

Aliyemjibu alimjibu kwasababu Mungu alimfunua Yesu ndani yake, Acha Yesu ajifunue ndani yako umjue na kumwabudu kibinafsi, na Hivyo utapata ujasiri wa kumuhubiri, kumuimba na kumkiri YESU mbele za watu.

Maana ukimuonea aibu mbele za watu yeye atakuonea aibu mbele za Baba wa Mbinguni.

Video

BMCC Ebenezer Choir Ft Boaz Danken_Watu Wanasema Mimi Nani (Official Video)

0 CommentsClose Comments

Leave a comment

Guspel © Copyright 2025. All Rights Reserved.

Newsletter Subscribe

Get the Latest Posts & Articles in Your Email

We Promise Not to Send Spam:)