“Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya; wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.”
Isa 62:6-7 SUV
Enyi walinzi wa hatima za kizazi hiki, msinyamaze! Walinzi wa mitaa, familia, uko, miji, mataifa, kanisa, dunia msinyamaze!!! Wala msimuache BWANA ANYAMAZE! Upo utukufu upaswao kufunuliwa juu ya kila mmoja, juu ya mataifa, vizazi na dunia kwa ujumla! Msinyamaze!!
Yajapoinuka mengi ili kuwanyamazisha! Msinyamaze! Udhihirisho umefichwa katika kutonyamaza. Ombeni bila kuchoka, BWANA ANASIKIA! Nanyi MTASHUHIDIA MAKUU.
Video
Angel Benard Ft MOG Zoravo – Jehovah Sabaoth (Live Video)